Area 56 JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,555 Reaction score 4,085 Oct 25, 2018 #1 Miaka mitatu baada ya Uchaguzi Mkuu Attachments 20181025_155143.jpeg 49.8 KB · Views: 55
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,145 Oct 25, 2018 #2 AISEE
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Oct 25, 2018 #3 Jamaa anataka hata kupasuka.....
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,837 Oct 25, 2018 #4 tuzidi kutafuta pesa aisee, pesa kwa hakika ni sabuni ya rohho!
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Oct 25, 2018 #5 Pesa kweli kiboko. Yaani hata rangi ya ngozi imebadilika - kwa mlinzi na mlindwa!
CARDLESS JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 7,867 Reaction score 16,016 Oct 25, 2018 #6 Huyo kondeboy kanenepeana balaa ila jamaa yuko vizuri sana kwenye kazi yake hiyo..
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Oct 25, 2018 #7 S A Ngolilo said: Huyo kondeboy kanenepeana balaa ila jamaa yuko vizuri sana kwenye kazi yake hiyo.. Click to expand... Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo?
S A Ngolilo said: Huyo kondeboy kanenepeana balaa ila jamaa yuko vizuri sana kwenye kazi yake hiyo.. Click to expand... Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,145 Oct 25, 2018 #8 Behaviourist said: Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo? Click to expand... Ni utaratibu wa kawaida,wagombea urais hupatiwa ulinzi.
Behaviourist said: Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo? Click to expand... Ni utaratibu wa kawaida,wagombea urais hupatiwa ulinzi.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Oct 25, 2018 #9 lukesam said: Ni utaratibu wa kawaida,wagombea urais hupatiwa ulinzi. Click to expand... Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi?
lukesam said: Ni utaratibu wa kawaida,wagombea urais hupatiwa ulinzi. Click to expand... Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,145 Oct 25, 2018 #10 Behaviourist said: Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi? Click to expand... Hapo labda watusaidie kumuuliza Mheshimiwa Lowassa.
Behaviourist said: Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi? Click to expand... Hapo labda watusaidie kumuuliza Mheshimiwa Lowassa.
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Oct 25, 2018 #11 Naona mpambe anazidi kunenepa...
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,790 Oct 26, 2018 #12 Behaviourist said: Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi? Click to expand... Ndiyo