bibi alikuwa kigoli kipindi hiyo
maji unaita mma...
View attachment 208437
View attachment 208439
View attachment 208440
Ulikuwa wapi enzi hizo, bidhaa hizi zilikuwa na nembo hizo.???
Aseee,hebu weka na za lifebuoy,royco,aspro,revola,tanbond nikumbuke enzi za muvi za "Loha" mkuu.Nacheeeka...!
Nakumbuka hayo makopo ya blue band na yale ya Cow boy tulikuwa na kikundi chetu cha kutengeneza magari ya makopo na yale ya waya! watoto wa kisasa ubunifu huo sijui wanao?