Kama nimekuelewa ulimaanisha zaidi ya ulichokiandika! Kulikuwa na undezi sana kipindi kile! Kila ukipita lazima usikie " unanijua mimi?"Eti alitekwa akapigwa akatupwa Mabwepande Msituni akakutwa na Mpita njia ambae hapo hapo akampigia Simu Mama Hellen Kijokisimba nae akawapigia ITV wakaenda kumuokoa Live!
Dr Ulimboka bila ya kutegemea akafanywa karata ya kuchochea Wananchi waasi dhidi ya Serikal ya Dr Kikwete
Mama Kijo akaitisha Maandamano ya kwenda Ikulu bahati mbaya kwake Wananchi wakayapuuza!
Funguka zaidi umeniacha njia panda.Kukosa Yesu nishida.Yaani Yesu alisurubiwa na yeye akakubali
Mkuu alipgwa ili tuponeFunguka zaidi umeniacha njia panda.
Duh! Nimekuelewa sasa.Mkuu alipgwa ili tupone