Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

Status
Not open for further replies.
Mkuu udini ni mzuri mbona wewe ni mtu wa dini uko huku? natumeambiwa tutenganishe dini na siasa.



Aaaah! Bilal bin Rabah, Yani jamaa Yangu Nafurahi sn kukutana na wewe kwa muda huu!
CHAMVIGA jamaa yng Nilikua namchalua tu!
Ila mmepotea sn! Simuoni Kahtaan, Wabara, Crabat, Gombesugu, Bopwe, Mohamed Said, Nyenyere, Mlaleo na THE BIG SHOW.! yank nyie mkiamua kuuwasha moto mnauwasha kweli kweli!
 
Hii kesi haikustahili hata kufikia hapa ilipofikia. Ningekuwa mimi ndo jaji ningeitupilia mbali siku ya kwanza na kuwarudisha waende wakayamalize wenyewe kwenye chama chao.
Chama kipi hicho?
Hiki cha Mbowe na Lema wanachokutengenezea zengwe, kukufukuza halafu wanakuita ujitetee?
 
Okay sio mbaya na wewe umeanzisha thread na mm nimechangia. hongera na zako na breaking news.
 
Duhhhhhh three years back i never dared to think of reading something like this, "Hukumu ya Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema"

Kweliiiiiii ndo tumefikia hapaa...?????

Dooooohhhh!!!!!
Kweli nimeamini politics is a dirty game na kamwe usieke tumaini lako kwa mwanasiasa. All of them are corrupt
 
hukumu bado???

Hata mimi ninaisubiri hapa kwa keyboard live maana ya saa mbili usiku huwa ni zilipendwa. News zangu kwa 0ver 90% nazipata hapa JF mapema kbs kabla ya zile za TV unakuta wanachakachua hasa km editor ni mshikaji wa news hiyo. Hapa ni bila chenga na nyongeza juu. Bravo JF!!
 
nashangaa haswa
 

Ngoja kwanza wapumue wapiga dili.
 
Hata kama mahakama italazimisha abaki haisaidii, huyo ni CCM. Ni lazima TUMTIMUE. ije mvua, lije jua ni lazima tumngoe. Hili ni pandikizi.
 
Mrombo...unampa hongera ya nini mtuma uzi? Au kwa kuwa ameanza kutambaa kifikra? Maana sioni cha maana zaidi ya ma------ style....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…