Wadau naomba kujua,hivi ITV wanajua idadi ya Watanzania wanaoweza kununua magazeti? Habari zao wanabipu tu kisha wanasema habari zaidi ni ukurasa wa 4 kana kwamba magazeti yanawafikia wananchi wote. Tupeni walau habari chache lakini kwa kina acheni kudonoadonoa. Jifunzeni kutoka RFA etc!