Kwahyo kule mbel kabisa ndyo ziwa viktoria?🤔🤔🤔Muonekano wa Mto Nile kutokea katika kituo cha anga cha kimataita na chunguzi zake ambacho kipo umbali wa takribani kilomita 420 kutokea usawa wa bahari picha safi kabisa iliweza kuchukuliwa kutoka kwa camera mbalimbali zilizopo katika kituo hicho
Kumbuka kituo cha anga kipo katika anga za mbali kikizunguka dunia yetu kwa malengo mbalimbali ya chunguzi na kuendelea kufahamu mengi ambayo hapo awali hatukuwahi kifahamu kuhusu dunia yetu pendwa
Gerald
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu #AstronomyKiswahili
View attachment 2489419
Hapana, kule ni misriKwahyo kule mbel kabisa ndyo ziwa viktoria?🤔🤔🤔
Hawa wapuuzi wenye rangi nyeupe wametuzidi pakubwa sana mbwa hawa😁😁😁Hapana, kule ni misri
Maswali ya primary hayahitaji majibu?Maswali ya primary hya kaka , kam unashndwa hata kuuona mto NILE bado una mengi ya kujua kwanza
Nani kasema nipo primary?Kama upo primary unafuata nn humu
Kwenye taarifa ya post yako huaweka maelezo kuwa kwa maelezo zaidi nenda google na ndio maana mimi nimekuuliza wewe nikijua unaweza kunijibuCjasema ni sheria mkuu ila maswali mengne inabid uende tu Google kabla ya kuulza wakubwa wenzio
Okay fineKwenye taarifa ya post yako huaweka maelezo kuwa kwa maelezo zaidi nenda google na ndio maana mimi nimekuuliza wewe nikijua unaweza kunijibu
Inawezekana watu wengi wameona hii picha lakini sio wote wameelewa, sitaki kuamini kama mada hii inawahusu watu wenye taaluma ya astromer kiasi waweze kuelewa bila ufafanuzi
Pengine swali langu ungelijibu ungekuwa umetoa mwangaza kwa watu wengi hata kwa waliokosa nafasi ya kuchangia.