Kutoka kwenye kituo cha anga cha ISS

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Muonekano wa Mto Nile kutokea katika kituo cha anga cha kimataita na chunguzi zake ambacho kipo umbali wa takribani kilomita 420 kutokea usawa wa bahari picha safi kabisa iliweza kuchukuliwa kutoka kwa camera mbalimbali zilizopo katika kituo hicho

Kumbuka kituo cha anga kipo katika anga za mbali kikizunguka dunia yetu kwa malengo mbalimbali ya chunguzi na kuendelea kufahamu mengi ambayo hapo awali hatukuwahi kifahamu kuhusu dunia yetu pendwa

Gerald
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu #AstronomyKiswahili

FB_IMG_1674244473038.jpg
 
View attachment 2489419
Kwahyo kule mbel kabisa ndyo ziwa viktoria?🤔🤔🤔
 
Kwenye hiyo picha mto naili uko wapi hapo mbona hujazungushia?

Au picha yote ni mto naili?
Maswali ya primary hya kaka , kam unashndwa hata kuuona mto NILE bado una mengi ya kujua kwanza
 
Cjasema ni sheria mkuu ila maswali mengne inabid uende tu Google kabla ya kuulza wakubwa wenzio
Nani kasema nipo primary?

Na hata kama iwe hivyo, ni sheria gani inayokataza watu wa primary kuchangia kwenye hili jukwaa?
 
Cjasema ni sheria mkuu ila maswali mengne inabid uende tu Google kabla ya kuulza wakubwa wenzio
Kwenye taarifa ya post yako huaweka maelezo kuwa kwa maelezo zaidi nenda google na ndio maana mimi nimekuuliza wewe nikijua unaweza kunijibu

Inawezekana watu wengi wameona hii picha lakini sio wote wameelewa, sitaki kuamini kama mada hii inawahusu watu wenye taaluma ya astromer kiasi waweze kuelewa bila ufafanuzi

Pengine swali langu ungelijibu ungekuwa umetoa mwangaza kwa watu wengi hata kwa waliokosa nafasi ya kuchangia.
 
Okay fine
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom