Kutoka kunibania utamu mpaka kunigeuza ndama

Kutoka kunibania utamu mpaka kunigeuza ndama

Ndama wa Simba anatafuta faraja kwenye mbumbusi .....

Mangungu hoyee.
 
Ujue hawa mabinti wanaoonesha wapo bize/vizuri sana kwenye mambo ya Imani hua wanapenda sana kidinyanyana sema wanakosa ujasiri kwa sababu wamebase kwenye injili, ukifanikiwa kumshawishi akakubali utakula miuno mpaka upate muscle cramp utaletewa magetoni mpaka uanze kuona kama kero hv
Huu ni ukweli. Hata ninayemzungumza hapa ndivyo alivyo. Injili sana. Mwenyewe anasema watumishi wa Bwana starehe yetu ni kutiana
 
Mimi ni kati ya wale ndugu wasiopenda kutongoza, ni mtu wa kuweka mitego tu bidada anaelewa mwenyewe hapa anaombwa utamu.

Mind you, huwezi mpata kila msichana kizembe namna hiyo. Hakika harakati zangu ziligonga mwamba mwaka mzima. Huyu mtu alikuwa akinipa sana muda wake lakini akawa hodari wa kukwepa mitego. Mwisho wa siku ikabidi mkuu wenu nitongoze tu hakuna namna. Pamoja na hilo bado sikujibiwa. Sikuumia sana kuhusu matumizi ya kibunda kwa sababu hakuwa kausha damu. Ni matumizi ya outing tu ambayo zilikuwa shobo zangu mwenyewe.

Muda ulivyosogea akawa kama kanikubalia kwa vitendo, lakini kwa mbaaaali sana. Muda wote akipata muda alinihitaji kwake tunakula na kunywa.

Kipengele ikawa kula mzigo, akabana tena kubana kweli. Mwisho nikachoka kulilia mzigo nikamwambia mimi nina give up. Siwezi kuendelea, nimependezwa na kila kitu ila sifurahishwi na kuninyima utamu. Kama utani nikasusa.

Nikiwa kwenye mikausho mikali, haachi kunitafuta. Mwisho akaamua kutulia kama miezi miwili hivi bila mawasiliano.

Ajabu uzalendo ukamshinda akarudi kunitafuta. Safari hii hakutaka maelezo mengi. Ukishika mikono tu unamkuta yupo kifuani anatalii.

Kisha amenigeuza ndama mwenye kunyonyeshwa maziwa usiku kucha. Bila kunyonyeshwa maziwa hamjalala. Maziwa imekuwa kama mswaki, kabla hujaamka unapiga la kushoto dk 10 la kulia dk 8. Simba Sc ikifungwa unanyonyeshwa maziwa utulize presha. Ikitoa droo utapewa ziwa kidogo kutoa wenge. Utopolo wakiwa na mechi unaulizwa kipi bora mechi ya Uto au kuyanyonya. Hata kama ni wewe ungechagua nini hapo?!!!!!!!! 👌👌👌👌👌👌

My Take
Uzi unaweza kuwa hauna umuhimu wowote ila ni muhimu kwa ndama wenzangu
Katiba mpya ni Sasa.
 
Ujue hawa mabinti wanaoonesha wapo bize/vizuri sana kwenye mambo ya Imani hua wanapenda sana kidinyanyana sema wanakosa ujasiri kwa sababu wamebase kwenye injili, ukifanikiwa kumshawishi akakubali utakula miuno mpaka upate muscle cramp utaletewa magetoni mpaka uanze kuona kama kero hv
Uko sahihi kabisa mkuu, ukishafanikiwa kula mbunye mara moja basi jua utapewa kila unapohitaji na sometimes yeye mwenyewe anakuwekea mtego kumaanisha anataka kuliwa
 
Uko sahihi kabisa mkuu, ukishafanikiwa kula mbunye mara moja basi jua utapewa kila unapohitaji na sometimes yeye mwenyewe anakuwekea mtego kumaanisha anataka kuliwa
Ila kabla ya kukupa wanasumbua sana, inataka roho ya kuvumilia
 
Back
Top Bottom