Kutoka kuahidiwa kuishi kama malaika mpaka kujibiwa serikali hainyeshi mvua na haina shamba!.

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Sasa ni zamu yetu sisi watu wa kawaida hususani tunaoishi vijijini kuisoma namba.

Wafanyabiashara walipolalamika watu wa kawaida walisema safi sana mafisadi hao walizoe njia za panya. Watumishi wa umma walipolalamika, watu wa kawaida walisema mafisadi hao watumbuliwe tu.

Watu walipobomolewa nyumba zao Dar, watu wa kawaida hasa vijijini walisema safii sana safisha mji.

Leo zamu yetu vijijini matumbo yetu hayana kitu tusilalamike tufanye kazi. Kila mtu ataisoma namba kwa nafasi yake na wakati wake utakapofika. Piga kazi baba tufundishe kugangamala.
 
Umenikunbusha unyama waliofanyiwa wananchi wa Mkwajuni , hakika uharamia ule lazima Mungu alipe tu .
 
Back
Top Bottom