Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Hawa CCM kwa kweli sio wazima hata kidogo..yaani kuna jamaa kapanda jukwaani kwenye mkutano unaoendelea Iringa hakuna anachoongea tangu ameanza. Anasiliba upinzani tu na kutisha wananchi badala ya kunadi sera zao kwa wananchi. Ajabu ni wananchi wanaoshangilia ndio hawajielewi hata robo.... hakyanani hii nchi inawajinga wengi

kaka miaka 50 madarakani huwezi kuwa na jipya la kusema,kikubwa ni kujengea watu uwoga na kuwahadaa
 
Haya tumesikia.
Numbers don't lie ...atwambie pia ilikuwaje EL wakati yuko nje ya uongozi miaka nane umefanyika ufisadi ambao thamani yake inakadiliwa kuzidi ufisadi wote tangia Tanzania ipate uhuru!?
 
hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu
Hawapondi ila wanadhibitisha kuwa Lowassa na ccm hakuna tofauti wote wezi, hivyo ni juu yako kuchagua Mwizi mwenye unafuu kwako.
 
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!

Hatuchagui personal issure za Raisi Lowassa...
Tunachagua mabadiliko..
 
hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu

Mkuu CCM inakosea sana sana kitu kimoja. Wanafikiri wakimwa-atack Lowassa au viongozi wa upinzani ndio wanaondoa tatizo. Hawajui Viongozi wa upinzani ni kivuli tu kinachoonyesha jinsi wananchi walivyochoshwa na utawala mbovu na wa ubabaishaji. Ndio maana Dr Slaa aliondoka lakini watu hawakutikisika. Vilevile Lipumba. Leo hata wamfunge Lowassa lakini bila kurudi kwenye misingi ya utawala bora na uchapa kazi wananchi hawatawaunga mkono!
 
Kana ni mwizi na waliendelea kumteua basi waliomteua aliwapa mgao na hao ndio wa kuchukuliwa hatua kali sana
 
Kwa hiyo walivyoona anaiba wakampandisha vyeo hadi uwaziri mkuu??? Shenz kabisa

Bora wangekaa kimya kwa sababu hapa wanaonyesha jinsi walivyo wajinga na wapumbavu. Mtu walikuwa nae mpaka mwezi wa saba huku wanamsifia leo wanajifanya kusema ni mwizi? Hawana hoja hata kidogo na sisi tutamchagua basi.
 
Mafuriko ya MoNaBaN arusha leo
 

Attachments

  • 1443448611373.jpg
    1443448611373.jpg
    21.2 KB · Views: 873
jamaa anakosoa kila kukicha serikali ya ccm,na ilani anayotumia ni ya ccm,head leader wa serikali ni wa ccm,na maendeleo anayoyaongelea yametokana na ccm.logic yake ni nini??????
 
jamaa mjanja kweli anajua wananchi wanaichukia serikali ya ccm mbinu anayotumia ni ku-join with them
 
Akiwa IRINGA leo!!!!!Aliwasih wananchi walio jitokeza kumuombea LOWASSA aweze kua na afya mpaka tar 25 ili ashuhudie wakitwaa dola!!!! Akahitimisha kwa kusema Hatuwez umwacha mzima kupeleka MAITI ikulu!Kauli hiz za dharau kuhusu afya ni hatar tushajionea viboko kutoka kwa MUUMBA!!!!!!Tusubir viboko vingine
 
Back
Top Bottom