KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 231
- Thread starter
-
- #21
Acha upuuzi mkuu,toa vielelezo kwamba cdm iramba imekufa!CDM Iramba kimekufa kabisa nyie ndugu zangu wanyiramba acheni kumfikiria Dr Kitila maana hata mkidhikiri uc
Sasa tuendelee kulima Alizeti yetu na mahindi na ndugu zangu wa Kidaru, Kiteka, Doromoni wote waendelee kulima uwele na kutumia vyema hizi mvua zinazoendelea kunyesha!
Hakuna namna Dr Kitila akarudishwa ingawa mmeumia sana! Na kinachowauma zaidi kwa CCM kuendelea kuimarika katika tarafa zote nne na kata 17 na vijiji vyake 76!
Songela zigizigi!
kama ni mtu anayewafaa hata akiwa SAU atawafaa, mwambieni atafute chama ahamie ili mkafanye yenu. waacheni CHADEMA waendelee na yao. acheni usumbufu bana
sio mkorofi. anaamini anchokisimamia.Kitila ni mkorofi,mpaka wachungaji na mashehe walitaka wamwoombee msamaha,kakataa.
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
Leo kuna mkutano sehemu moja inatwa nguvumali-kata ya ndago,utafanywa na Nchemba,kiukweli simkubali huyu bwana hata kidogo,hata jimboni kwasasa hakubaliki ila nani toka nguvu ya umma atakayekuwa mbadala,TAFADHALI CC CDM,Mrudishieni uanachama Dr.,hatupendeki hata kidogo ahamie CCM,huko atalishwa unga wa ndere na Bi. Kirembwe.

Taarifa nilizozipata MWIGULU NCHEMBA atafanya mkutano jimboni kwake uwanja wa mpira uliopo katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba,
jamaa yupo vizuri na kila siku anajizolea wafuasi wapya,
na awamu ijayo ya uchaguzi hana mpinzani.
Taarifa nilizozipata MWIGULU NCHEMBA atafanya mkutano jimboni kwake uwanja wa mpira uliopo katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba,
jamaa yupo vizuri na kila siku anajizolea wafuasi wapya,
na awamu ijayo ya uchaguzi hana mpinzani.
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
Dah CHIKITITA,nauzimia sana huo wimbo!
Cc.Petro E.Mselewa