Habari waungwana,
Kama tujuavyo, jana Rais Magufuli alifanya mabadiliko kwenye jeshi la polisi nchini kwa kutengua uteuzi wa aliyekua mkuu wa jeshi hilo, Ernest Mangu nafasi ambayo alitumikia kutoka awamu ya nne alipoteuliwa na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Nafasi yake kukabidhiwa Simon Sirro ambae alikuwa kamanda wa polisi mkoa wa Dar-es Salaam, uteuzi ambao alipewa na Rais wa sasa, John Magufuli.
Tuwe sote kujuzana yanayojiri ikulu.
=====
Kwa sasa unapigwa wimbo wa Taifa na watu kadhaa wamehudhuria ikiwemo makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na IGP anaeachia nafasi hio, Ernest Mangu.
VIDEO
Simon Sirro aongea baada ya kuapishwa
Kwa sasa Rais Magufuli anamvika vyeo vipya Simon Sirro kwenye mabega kisha linafata zoezi la kuapa kwa Simon Sirro.
Shughuli inamalizika kwa kupiga picha ya pamoja.
Rais Magufuli akimvisha cheo kipya IGP Sirro
Simon Sirro akila kiapo cha utumishi kama IGP
Kamanda Sirro baada ya kula kiapo cha kuwa IGP
Rais Magufuli akiwa na IGP Mpya, Simon Sirro na anayestaafu, Ernest Mangu.
Rais Magufuli akiagana na IGP wa zamani Ernest Mangu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba mara baada ya tukio la uapisho wa IGP