Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 28,941
- 30,228
Wakuu, nilikuwa naangalia muda huu star TV matangazo ya bunge live.Kuna mbunge mmoja mwenye Kariba ya viti maalum kutoka Zanzibar kauliza swali kwa Wizara ya Mambo ya Ndani...kwamba "Je, serikali haioni umuhimu wa kukifuta chama cha siasa cha CUF ili Zanzibar iwe na amani?
- Wakati Naibu Waziri Masauni akienda kujibu ghafla star tv wakakatisha matangazo.
- Wakati Naibu Waziri Masauni akienda kujibu ghafla star tv wakakatisha matangazo.
Mbunge wa viti maalum Munira Mustafa Khatib ameiomba Serikali kukifutia usajili chama cha wananchi CUF kwa kuwa kinaendelea kuleta vurugu Zanzibar