YALIYOPINDA SI NDWELE! nimeipenda sana hiyo. Ndugu wananchi TUGANGE YAJAYO!la nyongeza, utachukua hatua gani kwa uzembe wa SUMATRA,
jibu, : yaliyo[ita si ndwele, tunasubirio taarifa ya uchunguzi tutachukua hatua stahiki.
Tuhabarishe mambo mengine yaliojiri Dodoma, kama ni bunge tunaangalia live kupitia tv.
Hawa nao watawajumuisha kwenye idadi ya ajira walizotoa, serikali ya kisanii sana hii.Waziri Mkuu ,MIZENGO PINDA amesema Siyo mgomo uliosababisha baadhi ya Walimu kutochukuliwa katika zoezi la sensa.
Waziri mkuu amesema hoja iliyotumika ni kuyapa fursa makundi yote (Walimu, wanafunzi walihitimu shule na whitimu wa vyuo vikuu ambao hawana kazi) kutumia fursa hiyo.
Hajui nini kifanyike kwa wawekezaji wabaya? Sisi ni maskini hizo gharama za kujitolea zisizo na tija za nini kwani lazima?SWALI LA KWANZA: UWEKEZAJI HOLELA
JIBU: Kuna wawekezaji wazuri na wabaya.
Swali la pili toka kwa Mohamed Nyaa, linahusu Tanzania kujitolea katika ulinzi wa amani, ila Tanzania tunanyimwa fungu la malipo.
Jibu: Ni kweli, lakini sasa tutatumia fursa hizo vizuri amemshukuru Migiro kusaidia na Wamarekani wamejitolea kutufunza.
Kwani hakuna utaratibu unaowatia hatianai hao watendaji au na yeye ni mmoja wao?Swali la 3. Toka kwa Mchemba, ameuliza kuhusu sheria ya manunuzi ndio chanzo cha ufisadi na huduma za kiwango cha chini na kupaisha bei, amelink na direct sourcing kuokoa zaidi mapato.
Jibu: Inategemea uaminifu wa wahusika, watendaji sio waaminifu wana collude na suppliers kupaisha bei ili kupata cha juu!.
La nyongeza, watendaji hao wa makosa ya manunuzi tuwaingize kwenye kosa la wahujuu uchumi.
Jibu. Ni wazo zuri, ila inategemea uwezo wa kuwabaini kutoka na usiri uliopo.
Hachia ngazi kazi imekushinda!Swali la 4. Uwezo wa serikali yetu kukabiliana na maafa toka kwa Rajab Mbaruku.
Jibu: Usimamizi wa kuzuia majanga hatuko makini!. Pande zote mbili zitazingatia viwango, lazima tukubali kulikuwa na laxity,
Chunguzi zipo nyingi kuhusu ajali mbali mbali hatua zipi zimechukuliwa kudhibiti ajali nyingine?la nyongeza, utachukua hatua gani kwa uzembe wa SUMATRA,
jibu, : yaliyo[ita si ndwele, tunasubirio taarifa ya uchunguzi tutachukua hatua stahiki.
Ina maana yeye hawajuia wakuu wa mikoa na wilaya mpaka mwanasheria mkuu?.Sali la 5: Tundu Lissu.
Kwanini watendaji waandamizi wa serikali wakiwemo wakuu wa wilaya na mikoa kuwa wabunge,
Jibu: Sina uhakika na hili, mwanasheria mkuu yupo atalishughulikia.
Ni kweli mkuu wanapoteza muda bure maana hana majibu anachofanya ni kuongea maneno kuhusu swali husika lakini sio majibu kabisaaa!. Ni mchezo wa kitoto unaofanyika bungeni. UPUUZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.nilishapendekeza kipindi cha maswali na majibu kifutwe na kisiwepo kabisa...sababu kuu ni moja tu..majibu ya wazri mkuu hayaridhishi hata kidogo
Kila anapouliza swali Tundu Lisu, hakuna anaeleza kumjibu, wote wanakimbilia kwa Kishoka Werema.Huo nao ni udhaifu. Ina maana hajui kuwa Stella Manyanya ni mtendaji wa serikali (mkuu wa Mkoa) na wakati huohuo ni Mbunge?
Sali la 5: Tundu Lissu.
Kwanini watendaji waandamizi wa serikali wakiwemo wakuu wa wilaya na mikoa kuwa wabunge,
Jibu: Sina uhakika na hili, mwanasheria mkuu yupo atalishughulikia.
Sali la 5: Tundu Lissu.
Kwanini watendaji waandamizi wa serikali wakiwemo wakuu wa wilaya na mikoa kuwa wabunge,
Jibu: Sina uhakika na hili, mwanasheria mkuu yupo atalishughulikia.
Swali la 6 toka kwa Marriam Msabaha kuhusu watoto wa mitaani.
Jibu: Watoto wa mitaani ni tatizo la jamii na ni changamoto, jitihada zipo ila idadi inaongezeka kila kukicha, jitihada zinaendelea.
Swali la 7: Kutoka kwa Susan lymo, kwanini serikali imeondoa kipengele cha dini kwenye hojaji za sensa?.
Jibu: Hatupangi maendeleo kwa kuzingatia vigezo vya dini, kiserikali tumeona halina tija ili kuepuka kigogoro ya nani wengi.