Kutoka Bungeni: Maswali ya Papo Kwa Papo kwa Waziri Mkuu!

Swali la Lissu ni la Kiume!Pinda anajifanya kapinda eti halifahamu ilo!
Watz wako 40mil almost iweje mtu akalie kofia mbili kwa kipi cha ziada alichonacho au ili awe bize aache kuiponda serikali Mf Eng Manyanya alikuwa kwa kamati ya Mwakyembe wakaona wamzibe mdomo
 
"Vingunge wenzio wanaofahamu madudu haya, watalishughulikia hili na ikibidi kauli ya serikali kuhusu hili, italetwa bungeni kulifafanua"-Pinda.

Hatutaki kauli ya serikali tunataka utendaji wa serikali.. la sivyo tutaendelea kuamini kuwa ni dhaifuuuuuuuuuuuu
 
Swali la Mh Lisu ni la muhimu sana aendelee kulikomalia.
Swali la nyongeza Serikali kupitia kwa rais JK ilisema itatenganisha biashara na siasa je utekelezaji wake umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom