Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kikao cha bunge kinachoendelea dodoma kiliahirishwa mchana saa saba. Kilikua kianze tena saa kumi na moja kwa hoja za waziri wa miundo mbinu kawambwa kujibu hoja za wabunge kuhusu bajeti ya wizara yake.

Asubuhi matangazo ya mjadala yalikua yanarushwa 'live' na tbc1 na startv. Jioni hii stesheni zote mbili zinapiga muziki wa bongo. Kuna nini bungeni? Au hoja za kupinga bajeti hiyo ndio zimezima stesheni hizo? Kulikoni?
 
Labda kuna matatizo ya mawasiliano na uchukuzi ,uchukuzi wa picha za kideo.
 
ohoooooooo!! tumezowea hali hiyo..
 
wanaanza ishu kama za Iran kipindi kile obama yuko misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…