Kutoka Angola: Mwigulu atema Cheche

mopaomokonzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
307
Reaction score
28
Naibu Waziri wa Fedha ndg Mwigulu Nchemba Madelu amekonga nyonyo za washiriki wa mkutano uliofanyika Angola kuanzia tarehe 17-18 Dec 2014 mjini Luanda nchini Angola.

Naibu Waziri huyo aliyekuwa akiitwa Nyerere enzi akiwa chuo kikuu kwa ajili ya uzalendo wake na kujali masikini ambaye kwa sasa amebatizwa jina la SOKOINE II kutokana na msimamo wake wakuchukia wahujumu uchumi na kutetea wanyonge kwa gharama yeyote hata kujitoa maisha yake, alipigiwa makofi kwa muda mrefu jana na hapohapo Waziri wa Viwanda wa Zambia akambatiza kuwa yeye ni masalia ya Dr Kwame Nkrumah kwa uzalendo na kwa maono yake ya kujali Afrika na maisha ya wa Afrika wakiwepo watanzania.

Walipokuwa wakijadili kuhusu fursa za uwekezaji katika ukanda wa maziwa makuu, Mwigulu alisema yafuatayo:


Katika hatua nyingine, ndg Mwigulu aliwataka viongozi wa Afrika waache kufanya mikutano ya ratiba na mazoea bali wakutane kufanya uamuzi wenye manufaa kwa wananchi wa Afrika, kwa mfano mpaka leo mawasiliano kwa simu kati ya nchi za Afrika zenyewe kwa zenyewe ni ghali kuliko kupiga simu ulaya au Marekani, mkikutana kwanini hamfanyi harmonisation ya gharama za mawasiliano, why are are we not hermonising telecomunication services, alitoa mfano, kule marekani state zote 52 wameunganisha masafa ili kupunguza gharama za biashara.

The other thing comming to Angola from Uganda, Kenya, Tanzania, Zambia and other nearby countries one has to go Via Dubai, Amterdam, Doha, Rome, London, and a bit of Jo'burg, just look at this? We have been using tax payers money for meetings all along since then where are the solutions for these problems?

Katika hatua nyingine Mwigulu akasema hapa tunawakalimani kibao wa lugha za makoloni yetu, tunajitahidi kuremba lugha za makoloni yetu nakudhani ufasaha wake ndio ustaarabu, sasa ni wakati tuwe na lugha ya kuunganisha Afrika, kiswahili ni mwafaka kwa bara la Afrika na kitaunganisha mataifa ya Afrika kufanya biashara pamoja. Ndipo waziri wa fedha wa Kenya na Wa uganda wakasimama kuunga mkono kauli ya Mwigulu huku wakisema Tanzania amepatikana Nyerere Mpya.

Kwa upande wake Waziri wa fedha wa Rwanda ndg Getete alisema, i have read though social media that you are the fevorite candidate and likely to take over after Kikwete, with this vision and in the way i have seen you in different meetings, you a credible leader, i support all of what you have raised here and i wish you all the best that Tanzanians say YES to you for you deserve the post. Mkutano huo pia ulihudhuriwa na Dr Mary Nagu, Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji.
 
Hawawezi kulipa kwasababu Mwanasheria mkuu aliagiza ile pesa haikatwi kodi
 
Jamaani jamaani watanzania muna manini vichwani mwenu? haya maspeech ya kuandikiwa ambayo mtu hatoi kichwan kwake mnampa sifa mtu asiyestahili, nyerere kwa kiasi kikubwa alitoa kichwan sasa huyu Mugulu mnasemaje ni nyerere huyu jamani mbona munakela sana nyiny wapambe wake wasaka tonge???
 
hivi mwigulu na Mnyika nani anatetea maisha wananchi? mwigulu si anatetea maslahi ya CCM,
 
Kumlinganisha Mnyika na Mwigulu ni dharau kubwa sana sana. Mnyika ana uwezo mara mia zaidi ya gaidi Mwigulu....

mkuu najiulizaga kila siku kwani mzee wetu sokoine alikuwa Gaidi....
 
Kumfanyia promo Mwigulu ni kujidhalilisha kwani kiutendaji sijaona la muhimu lililofanywa na huyu ndugu zaidi ya kupanga ulipuaji wa mabomu kule Arusha na mauaji ya makada wa CDM maeneo mbali mbali ya nchi na cha ajabu alienda kwa TB JOSHUA kutubu huku akiacha kutubu mbele ya mungu.
 
Unafikiri huo ni mkutano wa kisiasa? Nani alikwambia Mwalimu Nyerere alikuwa haandiki speech? Mpeni pongezi zake. Kutoa strong speech.
 
mwigulu yuko vizuri lakini huwezi kunlinganisha na miamba tajwa hapo juu. Niudhalilishaji kwamba kazi zao zilikuwa za kawaida saaana
 
Hajawahi kufanya kazi the guardian wala fedha za wahindi

Alifanya kazi na kwa hilo sitaki ubishi subiri document wiki ijayo.....kuiba aliiba ela nyingi sana, ila katika record zinazosomeka ni hizo 7.8. Kwa sasa naomba nisibishane na wewe subiri alhamisi ijayo ubishane na document mkuu
 
Mwezi mmoja umepita alikuwa mgeni wa Tamasha moja la kidini CCM KIRUMBA aliingia na gari ya thamani kubwa huwezi ukaamini ni mtoto wa Mfugaji huko Singida huwa wanaanza hivyo,kuna mwingine alianza akijiita mtoto wa mkulima mara kwenye akaunti nina milioni 25,lakini siku hizi anatoa misaada zaidi ya fedha aliyonayo kwenye akaunt.Ebu mtoto wa mkulima mwakani utakapotoka kitini tuambie sasa hivi unazo ngapi?
 

TUJIULIZE bWANA NCHEMBA KWANI UKIWA KWENYE MKUTANO NA LE PROFESERI HUWA UNA MWAMBIA MANENO GANI?
 
Once hopeless always you will be, huyu si ndo alikula njama za usaliti na ZZK akatamba CDM itaanguka ndani ya Mwaka??? Huyu si ndo mwenye picha za ugaidi za kugushi za Lwakatare??? INAWEZA KUWA NI KALAMU KWELI LAKINI KAMA WINO UMEGANDA BADO ITAFAA NINI???
 
Hizi porojo zingine za ajabu kweli!!, Mimi nyerere wangu aliyepo kwa sasa ni Dr. Slaa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…