Piga picha nione ni aina gani nikuelekeze maana kuna vya tigo, voda, airtel n.kNina kifaa cha WiFi asa sijui password mnanisaidiaje? Kifaa nilikua natumia na x wangu na ndio alienipa asa nimeachana nae sijajua Kama kanibadilishia ila kifaa kanipa ninacho wakuu msaada