Hapa kuna ignorance na hypocrisy ya kutisha.
1.Mimi si mshabiki wa kutoboa masikio, sijawahi kutoboa masikio ingawa society niliyopo inaruhusu mpaka leading TV achors kutoboa masikio.Nilishaamua tangu zamani sitavuta sigara wala kutoboa sikio wala kusuka nywele, kwa sababu ki old school tulivyokuzwa mambo hayo yalikuwa ni ya watu fulani waliozibuka na mimi sikujiona hivyo.
2.Having said that, ulimwengu unabadilika na uhuru wa kujieleza unaongezeka.Kama hatuna sababu nzuri zaidi ya tradition tu kuwashoot down hawa vijana kelele hizi zitakuwa ni bias tu.Kwa mfano, kati ya kijana asiyeheshimu watu ambaye hajatoboa masikio na kusuka nywele na yule anayeheshimu watu lakini katoboa masikio, nani ana tatizo? Tuangalie core issues badaa ya kuangalia hizi superficial cosmetics. As much as I would personally like to see kids not wearing earrings, that is a personal preference. If I go to a bank, I would rather be served by a tattooed, earring wearing breaded guy who is professional in conduct than a suited cleancut guy who is not attentive. Ni bora kijana anayefanya vizuri shuleni huku ana vihereni kuliko anayechemsha huku anafuata traditions.
Halafu hata kama hawa vijana wa vijijini wanachemsha, they are moreof victims of trying to be hip than people to be condemned.When you look at the information gap, as one of the contributors alluded to their lack of understanding of what is the sense of them doing that, you may end up pitying them than condemning them.
Let's not blame the victims.Most of these kids lack proper education and self awareness.When you condemn them you are sinking lower than them.
It's like beating a baby with no unerstanding for not understanding, inhumanly unfair.