Kutoga masikio-Vijana wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoga masikio-Vijana wa kiume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sipo, Nov 27, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kasi ya vijana wadogo wa kiume, miaka 15 - 25 kutoga masikio imeogezeka sana sio mijini tu bali na vijijini sasa tabia hii imeshika kasi. Sababu ni nini? Nawaomba waache
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,045
  Likes Received: 24,035
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Mpwa bana. Wanaanzaga na masikio, then wanasuka nywele, kisha suruali inashushwa mpaka makalioni. Baada ya hapo wananunua line ya TiGo!
   
 3. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hahahaha!! Na hatimaye wanakuwa ''mtoto si riziki"
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wee Mpwa wacha tu. Juzi nilipoenda kijijini nilishangaa madogo waliomaliza darasa la saba mwaka huu wametoga masikio, iliniudhi sana, nilipowauliza sababu wakabaki kuguna guna. Washenzi sana hawa watoto
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wakija huku mijini si ndio wanaanza kushangiliwa kama penalti. Wapumbavu sana hawa vijana wenye tabia hii.
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tandika mikwaju wote kabla hawajaanza kutoa hizo products za tiGo zinazochefua....sijue jirushe sijui nini
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  sikio, tatoo, kusuka bado wakuvalie suruali kama wanavua vile, ma boxer yao yapo nje nje....tabia mbaya sana.
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hawaangalii hata wako wapi. Cha ajabu siku hizi hata kwenye nyumba za ibada wanakuja hivi. Tabu kweli, hii nchi kwisheni kabisa, kila laana tumeibeba
   
 9. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukithubutu kumuambi matendo yako si mazuri umetangaza vita, sijui kwanini hawaoni madhara yake hapo baadae, shame on you boys who do that.
   
 10. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thubutu kumwambia uone cha moto, si unajua siku hizi kuna uhuru wa kuzungumza LF
  Na wengine siku hiz wameanza kuvaa skin tight. LOL! Vijana wana tabu hawa jamani
   
 11. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Serikali itoe tamko kwamba hakuna kuweka tattoo ,kutoga masikio, kuvaa Kata-K, Vimini. Enzi zile wakati wa Mzee wa Vita Mfaume Kawawa ilikuwa ukikutwa na nguo ya kubana tu kwa wakina dada ni kuchaniwa hadharani. Inawezekana ikaonekana kama Udikteta lakini inalinda maadili ya mtu. Kuna nchi ukienda tena zilizoendelea masuala kama hayo ni mwiko. Nenda Saudia halafu uvae namna hiyo kama hujachapwa bakora hamsa siku ya Ijumaa mbele za watu.
   
 12. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yah! Tunahitaji kitu kama hiki
  Wakichelewa tutajitungia wenyewe, ni kichapo tu
  Au nakosea wadau? Si inakera na kuchefua?
   
 13. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni malezi
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna ignorance na hypocrisy ya kutisha.

  1.Mimi si mshabiki wa kutoboa masikio, sijawahi kutoboa masikio ingawa society niliyopo inaruhusu mpaka leading TV achors kutoboa masikio.Nilishaamua tangu zamani sitavuta sigara wala kutoboa sikio wala kusuka nywele, kwa sababu ki old school tulivyokuzwa mambo hayo yalikuwa ni ya watu fulani waliozibuka na mimi sikujiona hivyo.

  2.Having said that, ulimwengu unabadilika na uhuru wa kujieleza unaongezeka.Kama hatuna sababu nzuri zaidi ya tradition tu kuwashoot down hawa vijana kelele hizi zitakuwa ni bias tu.Kwa mfano, kati ya kijana asiyeheshimu watu ambaye hajatoboa masikio na kusuka nywele na yule anayeheshimu watu lakini katoboa masikio, nani ana tatizo? Tuangalie core issues badaa ya kuangalia hizi superficial cosmetics. As much as I would personally like to see kids not wearing earrings, that is a personal preference. If I go to a bank, I would rather be served by a tattooed, earring wearing breaded guy who is professional in conduct than a suited cleancut guy who is not attentive. Ni bora kijana anayefanya vizuri shuleni huku ana vihereni kuliko anayechemsha huku anafuata traditions.

  Halafu hata kama hawa vijana wa vijijini wanachemsha, they are moreof victims of trying to be hip than people to be condemned.When you look at the information gap, as one of the contributors alluded to their lack of understanding of what is the sense of them doing that, you may end up pitying them than condemning them.

  Let's not blame the victims.Most of these kids lack proper education and self awareness.When you condemn them you are sinking lower than them.
  It's like beating a baby with no unerstanding for not understanding, inhumanly unfair.
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hata wangelelewa kwenye kapu, vijana wanapenda kuiga sana
  mzazi atajitahidi kulea lakini wakitoka na macho yao yaliyo uchi wanabamba kila kitu pasipo kuchagua. Stupid sana nyie watoto
   
 16. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kumbe kuna suppoters wao. Sikujua hata kidogo
  halafu Bluray wakati wa kuchangia mada epuka kutukana wachangiaji wenzako. I hate this and may be i hate ......... too
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Duuh yaani kama umeisoma akili yangu. Mwanaume kisa mkasa kufanya mambo kinyume na utaratibu? Kweli unaweza kuanza suka kama masihala baadae ukajikuta umeshiriki mbio za wanawake kumbe ni mwanaume
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Samahanini mimi nilidanganywa na kaka zangu nikatoboa je nifanyeje?
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ziba nguli....by the way ulikua na umri gani wakati unadanganywa?
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  umri mdogo
   
Loading...