Kutoa ute kama povu ukeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoa ute kama povu ukeni

Discussion in 'JF Doctor' started by Maayo, Sep 16, 2012.

 1. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wana jf doctor! Et mwanamke kutokwa na ute ukeni unaofanana na povu la sabuni ni kawaida au tatizo?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huo ute unatoka wakt wa kujamiiana au unatoka mda wowote?
   
 3. L

  Lughe Senior Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Labda mtoaji maada ungetueleza kwa ufupi historia ya hiyo hali.
  kwani kwa kifupi tu naweza kukujibu kuwa inaweza kuwa ni tatizo au siyo tatizo na nikawaida.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kakimbia hayupo serious huyu..
  ute huwa unatoka wakati wakujamiana kama kilainishi kule ukeni sasa sijajua huo ute wako unatoka muda gani..
   
 5. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni muda wowote.
   
 6. kinja

  kinja Senior Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni tatizo nenda kituo cha afya / hospitali
   
 7. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina muda wa 4 moths cjafanya mapenzi na hii hal imeanza kunipata ni mwezi mmoja sasa. Ni kwamba kuna wakat nahisi kama kuna vitu vinapasukapasuka ukeni na nikiingiza kidole natoa kitu kama povu. Ni nini hicho?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  unahitaji kujamiiwa .....
  Tafadhali ni-PM..........!!!
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mmmmh Kimbweka!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nataka kumpa tiba binti mrembo bhana....!!!
  Miezi minne siyo mchezo mkuu....!!!
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kimbweka ametoa suluhisho kulingana na maelezo ya mleta mada!
   
 12. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeifanya asubuh yangu iwe ya furaha kwi kwi
   
 13. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  oi kimbweka sasa kujamiia ndio tiba eenh! mwambie Maayo amuambie Mume wake amtibu...
   
 14. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna hilo povu linaandamana na kuwashwa, unaweza ukawa hali iitwayo TRICHOMONIASIS. Kamwone Dr au ni-PM
   
 15. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Maayo umeyaona majibu ya dokta! Kazi ni kwako!
   
 16. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Usiingize tena vidole huko. Hiyo tabia ya kuingiza ingiza vidole huko ndiyo chanzo cha tatizo. labda kama unapafanyia usafi.
   
 17. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh! Jaman hiz coment mpaka kizunguzungu lol! Hii ni serious issue jaman wandugu.
   
 18. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa unakonipeleka cko. Shemejio akirud nimwambie nin?
   
 19. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  mmnh..Hilo nalo neno.
   
 20. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Heheheheheeeh..Jaman kwel?!
   
Loading...