Kutoa network lock ya i phone 7+

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Habarini za usiku wakuu,ninahitaji kujua je hizi simu ambazo zina network lock au carrier lock zinatolewa vipi? na bei gani kutoa hiyo lock? na zipo njia za aina ngapi? na je njia hizo ni 100% effective?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pita google mzee au YouTube unaweza jua ukubwa wa tatizo lako kama ni prog zitaitajika itabidi uwaone walionazo wakusaidie.
 
Hiyo ni paid online service.

Lazima ujue nchi na carrier ilipotoka. Kama hujui tena unalipia kidogo kufanyiwa carrier check.



"Ruzige"
 
Unaweza tumia gevey inategemea ni carrier gani lakini hii njia ni cheap zaid compared na nyngne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, vp kuhusu kuremive icloud..... nani anajua njia rahisi na nafuu.... maana niba ipad 12 9 nataka niremove icloude... ila nineona process ni ndefu af kwa wadau wengine expensive...

Any idea[emoji42][emoji42]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…