Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Kuna wanaume ambao wanakabiliwa na tatizo la kutoa mbegu haraka sana.Husisimuliwa upesi sana wamtazamapo mwanamke akiwa amevua kila kitu,,ile shamrashamra,kusisimuana kunakofanywa na mwanaume huisha mara moja tu pale mwanaume anapomuingia mwanamke,,kisha hapo hapo na kutoa mbegu hapo hapo na kujigeuza upande wake siku inaisha habari yake.Jambo hili huudhi sana mwanamke,na wanawake wengine hujiona wameachwa peke yao katika kisiwa kisicho na msaada.
^^
Dkt Herbert Miles anasema asilimia 20 ya wanaume waliomtembelea kuomba ushauri walieleza tatizo hilo kuwa limewasumbua sana.Naye Dkt Morgan anaripoti kuwa wanawake karibu 42% wametoa malalamiko juu ya waume zao juu ya jinsi waume zao wanavyotoa mbegu tu na kutumia muda mrefu kurudia raundi ya pili au kutojaribu tena.
^^
NINI KIFANYIKE?
Jitawale
Mwanaume wa tatizo hili anashauriwa kujitawala wakati wa tendo la ndoa.Kubwa ni kuwaza mambo mengine kama michezo wakati anaendelea na tendo hilo,kuwaza madeni yake au matatizo mengine.Kuwa mbali kifikra humsaidia mwanaume kuendelea na tendo hilo na kuchelewa kutoa mbegu haraka.
Fanya zoezi hili
Katika utoaji haja ndogo wa kila siku,jitahidi kuwa unabana mkojo wako.Usikubali mkojo utoke haraka.Fanya hivi mf.unaweza kufika mahali pa haja ndogo kisha ukajifanya umeahirisha haja ndogo.Hii huimarisha misuli iliyolegea na kuongeza uimara katika tendo la ndoa.
Mwanamke afanye hivi
Katika wanandoa ambao wanapendana kweli,Mwanamama Nancy Van Pelt,anasema mwanamke anaweza kushika korodani za mwanaume na kuzuia usafirishaji wa mbegu hizo.Jambo hili mwanamke akilifanya kwa busara,humpa hamasa mwanaume ya kuzidisha ubora wa tendo hili,na kudumisha penzi lao.