Kutoa hela kwa boyfriend

wanawake mmezoea kuwa dependant kwa wanaume ndo maana mkiombwa hela mnashangaa
 
Me huwa siombagi Hela ila mpenz wangu ananipaga ye Mwenyewe na Suprise za Zawad kibao last time kaninunulia Hublot watch so suala la kupata Mwanaume muelewa tuu
Mpenzi wako anajiweza, Hublot zawadi nzuri.
 
mwambie hasijaribu kutoa hiyo hela atakuja kujuta pesa hatorudishiwa ila Mme atapata mwingine mwanaume gani akurudishie hiyo pesa? tunasharega wapenzi bila kujua ila sio pesa aku sikupi hela yangu tho niko radhi kukupa zawadi sio pesa loh
 
huyo dem atakua bonge, wanajua kuhonga haooo
 
ela ndio nini?
 
Wanawake wanadai usawa baina yao na wanaume huku wakiwa hawajui ni usawa gani wanaoupigania......hii inadhihirisha madhaifu yao ya wazi kabisa......na maana nzima ya Mungu kumfanya mwanaume kuwa kiongozi......
 
Sijui hii lugha yetu watumiaji wanaichukulia vipi yaani siku hizi mtu anajiandikia anavyotaka, ebu tuangalie huyu mdau alichoaandika! inasikitisha kwa kweli.
 
mwambie hasijaribu kutoa hiyo hela atakuja kujuta pesa hatorudishiwa ila Mme atapata mwingine mwanaume gani akurudishie hiyo pesa? tunasharega wapenzi bila kujua ila sio pesa aku sikupi hela yangu tho niko radhi kukupa zawadi sio pesa loh
Ni yeye mwenyewe ↶↶↶ ila hawaja mature enough wakikua wataacha
 
Nafurahi kuona humu watu wapo makini na lugha(mwandiko) isiyoeleweka. Kusema kweli lugha yetu inaandikwa na kuzungumzwa vibaya.
Ni hawa vijana toleo jipya, sijui wamekula maharage ya wapi.
 
Si sawa aiseee mwanaume kama sio mume wako si sawa kumpa hata kumi. Ni heri umnunulie vizawadi ila sio mara kwa mara. Unamnunulia hata baada ya miezi mitatu basi. Kumpa saport mtu ambae hujui future nae na kawaida wanaume wakiwa na girlfriend anaewapa hela basi anae anaemtunza so atachukua kwako atapeleka. Mwanaume anaheshim pale anapopahudumia hiyo Ni nature. Ukikazana kumpa jua Kuna anaetunzwa. Msaada Ni pale unaona anaugonjwa Au anatatizo kubwa ikibidi mwambie sina labda nikutafutie sehem utarudisha na akipata ahueni kaba sana arudishe.
 
Naomba laki my tena unabana na pua,ukiombwa wewe unakuja mbio kulia huku,kwani haki sawa mlidhani ni kwa nguruwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…