Kutoa alama za makovu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wandugu!

Ninaomba anayefahamu dawa ya kutoa makovu anifahamishe kama ipo na inapatikana wapi na jinsi ya kutumia, pia inachukua muda gani mpaka kovu kufutika. Natanguliza shukrani
 
Habarini wandugu!

Ninaomba anayefahamu dawa ya kutoa makovu anifahamishe kama ipo na inapatikana wapi na jinsi ya kutumia, pia inachukua muda gani mpaka kovu kufutika. Natanguliza shukrani

Nina hitaji dawa naomba msichanganye na ile ya kuwekewa artificial skin
 
inategemea ni makovu yaliyosababiswa na nini kama ni moto au ajali pengine itahitaji dawa maalumu ikiwa ni yaliyosababiswa na upele au ukurutu basi ni rahisi.

Iko dawa moja imetengenza kwa miti shamba tu ambayo utaipaka na kumaliza tatizo lako sijui sana kuhusu dawa hizi zinazoitwa za kizungu kwa kuondoa makovu ila hiyo ya miti shama inapatika mmjoa ule Arusha Tanzania kama unahitaji ni-email kwa kitalolo@gmail.com then tuone jinsi ya kukupati pia kwa wale wote wanye magonjwa mbali mbali zipo dawa za nitishamba zenye uwezo wa kutibu malari, sukari, matatizo ya kuumwa miguu pamoja na viongo, tumbo ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo , HBp, pamoja na dawa za kuinua kinga ya mwili, na mengineyo mengi.

Kwa ushauri mnaweza kuni-email huwa unaweza kutumiwa dawa maali uliko ilimradi uwe na vipimo vya hosp kuthibitisha ugonjwa wako ili uweze kupatiwa dawa sahihi
 
inategemea ni makovu yaliyosababiswa na nini kama ni moto au ajali pengine itahitaji dawa maalumu ikiwa ni yaliyosababiswa na upele au ukurutu basi ni rahisi iko dawa moja imetengenza kwa miti shamba tu ambayo utaipaka na kumaliza tatizo lako sijui sana kuhusu dawa hizi zinazoitwa za kizungu kwa kuondoa makovu ila hiyo ya miti shama inapatika mmjoa ule Arusha Tanzania kama unahitaji ni-email kwa kitalolo@gmail.com then tuone jinsi ya kukupati pia kwa wale wote wanye magonjwa mbali mbali zipo dawa za nitishamba zenye uwezo wa kutibu malari, sukari, matatizo ya kuumwa miguu pamoja na viongo, tumbo ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo , HBp, pamoja na dawa za kuinua kinga ya mwili, na mengineyo mengi kwa ushauri mnaweza kuni-email huwa unaweza kutumiwa dawa maali uliko ilimradi uwe na vipimo vya hosp kuthibitisha ugonjwa wako ili uweze kupatiwa dawa sahihi

asante mkuu nita ku - email ila makovu yanatokana na ajali ya gari kama kujigonga kwenye chuma wakati ajali inatokea
 
Ndugu yangu, pole kwa makovu lkn sidhani kama hizo dawa za kutoa makovu kama ni njia salama!!!! Bora kovu kuliko 'cancer'
 
Back
Top Bottom