OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema wasingezifungia TCRA iliwaambia wangewazuia kuoperate Tanzania.
Ushajiuliza kuzuia META ku-oparate Tanzania kuna faida gani? Unadhani serikali yote watahamia X, mtandao ambao pia wameufungia, si watazidi kuonekana wanafiki wa kufungia huku wenyewe wakiendelea kutumia? Lakini pia wako vijana wengi wanatumia META kufanya biashara ikiwa ni pamoja na kuuza vitu na maudhui hali inayowafanya wajikimu kimaisha. Hivi unadhani kundi hili litaenda wapi baada ya kufungia META, je watazima au kuzidisha tishio la maandamano nchini?
Tunako kwa kuwapeleka hawa vijana wanaonufaika na META?Wakati tunajifananisjha na China ambao wanamitandao yao, je sisi tuna mitandao yetu ya kuleta ushindani kwenye soko la dunia?