Kutinda Nyusi . . .

Katika vitu vilivyonishinda ni nyusi ,nina nyingi sana nikitinda leo kesho haya hapa juu yamesimama ,nimejitahidi wapi ,nimeacha ila sipendezi kabisa

Wee upendeze usipendeze!
Mwisho wa siku "vya mbegu" hua hatuangalii nyusi! Tunapita na mzigo tu!
 
Kuchana na kitana sawa, ila siku zingine mtu unakurupuka

Kufika kikaoni unajikuta hivi

 
Hivi neno "kutinda" ni kiswahili? Nlijua ni kusukuma hee
 

Haki ya mbuzi... Zombie mpaka asalimu amri, unatafuta njia za kumfurahisha kwa urembo!!!!

VIVA ZOMBIEEEEEEEEE...............
 
hv nilipitwaje na hii makitu!
ehehehhehe ZOMBIEEEEEE NAKUPENDAJE SAAAASA!
Kaizer unaachaje topic inaenda mpak muhula wa tatu bila kumpa mwalimu class jono? Kongosho njoo shosti nikutinde mwali wangu!
 
Last edited by a moderator:
Mie nilishawahi kutinda mara moja.
Ngoja nije nijaribu kwa mara nyingine tena.

Ila urembo bana . . . yataka moyo!
 
Saluni za Kariakoo nenda wanafanya kwa nyuzi au za Upanga

Kama unataka kufanya kwa tweezer mwenyewe, ningekushauri walau mara moja upate professional help uone zinatakiwa ziwe na shape gani.

Kumbuka tu kuwa kizuri chajiuza lakini usisahau kuwa mzuri hajipambi 🙂
 
Ha ha haaa!!! Umenifurahisha sana bibie Kongosho. Yani wewe uko radhi uumie kisa kutinda nyusi? Ama kweli ukitaka uzuri sharti udhurike.
 
Ha ha ha ha, hapo bold nimekupata haswaa

Niendelee na wigi langu usoni?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…