Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Kama kichwa cha miguu kinavyojieleza.
Sijawahi tinda nyusi, ila kutokana na evolution ninayopitia nataka nianze kutinda. Nasikia ukitinda kwa wembe jicho linakomaa na kutinda kwa uzi inauma kama nini.
Kuna wengine wanatinda kwa twiza(matamshi sio maandishi) haiumi sana na ni nzuri, ni wapi wanatoa huduma hiyo?
Afu mods, tuwekeeni basi ki sub-sub-sub forum cha urembo? Najua fani imevamiwa.
cc snowhite King'asti watu8

Last edited by a moderator: