Kutimiza Ahadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutimiza Ahadi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by IshaLubuva, Mar 25, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Una mpenzi/mume/mke wako na imani iliyoko katika mahusiano ya mapenzi ni kwamba wapendanao hawatakiwi kufichana mambo yanayowahusu. Kwa upande mwingine kila mmoja anao marafiki wake binafsi kulingana na kazi, ujirani, shule, n.k. Chukulia inatokea katika kuongea na mmoja wa rafiki yako kukawa na suala fulani mmeliongea, suala hilo likawa linamhusu mwenzi wako kwa namna moja ama nyingine, na rafiki yako akakuomba liwe siri kati yako na yeye tu( usimwambie hata mwenza wako). Kwa upande mwingi Mwenza wako akabahatika kulifahamu suala hilo na wakati akijaribu kukuelezea ikaonekana wewe ulilifahamu kabla. Hali hiyo inamfanya mwenza wako kuudhika.


  Je utakuwa umemtendea kosa mwenza wako kwa kutomwambia suala ambalo mlikubaliana na rafiki yako (ambaye siyo mwenza wako) kwamba liwe siri kati yenu. Au kwa maneno mengine, tunalazimika kuvunja ahadi zetu za usiri tunazoweka ili kuloinda uaminifu, uwazi na mapenzi kati ya wawili wapendanao?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  heading yako na message ndani ngoja ninywe uji ..narudi sasa hivi
   
 3. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tukaribishane huo uji FL hata kama itatulazimu kuhudhuria kwa wingi kwenye kuitika mwito.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Inategemea ahadi hiyo inamuathiri mpenzio kwa kiasi gani.
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  and where is 'the two shall become one' thing?
  Kama ni jambo la kwenu pekee yenu na halimhusu sawa.
   
Loading...