Kutengua barua ya uchumba



Yan nimekulewa kabisa ni kitu gani unapitia na kwa mtu anaeangalia ujumbe wako kuna picha anaipata kua wewe ni mtu ulie single ktk nafsi ila machon pa watu wanakuona una mpenzi.

Hamna jambo baya na linalotia uchungu kama kua na mke/mchumba Gogo kimawazo,Gogo kiushauri yani anachojua yeyee kwenye mahusiano ni mume wangu arudi nyumbani nimpikie chakula/nimwandalie maji ya kuoga/nimpe K maisha yapite.

Mwanaume anaetaka hivyo vitu hawezi ona kama unachokiongea hapa kina mantiki maana anaona kama unapata kila kitu lkn ukweli n kwamba katika mahusiano kuna zaidi ya kupewa K/kuandaliwa maji ya kuoga/kupikiwa chakula.

Hakuna jambo baya kama Upweke wa Mawazo yani hakuna kitu kinaboa na kuumiza kama kua na mpenzi asiee na support yyte ktk mawazo yako...unawaza kodi utoe wapi,biashara iendeje,watoto wavaeje yani unawaza vitu kibao lkn mwenzako yeye anawaza akirud kazin atakula ataoga atatoa K atalala then mwisho wa mwezi atapokea mshahara then ATAKULETEA MUME WAKE uwaze tena nini cha kufanyia ile hela yani mwanamke wa dizaini hiii Sio tu atakuua kwa presha ila ipo siku utaenda hospitali utaambiwa una NGOMA wakat hauna hata malaria kutokana na utakavyoisha.

Nikirud kukushauri


1.Kabla hujaamua kumuacha jaribu kumuita na Umpe FACT yani umwambie bwana iko moja mbili tatu na umpe na mifano hai ili aweze kukuelewa unamaanisha nini...

Hakikisha unampa ya moyoni yote yote usiache hata moja kisha mwambie ulimpenda kwa jinsi ya uzuri wake na vinginevyo lkn zaidi ulikua unataka mwanamke wa sifa gani.

Mueleze ulichotaka au mategemeo yako kwake na jinsi alivyokuangusha kisha MWAMBIE ABADILIKE AWE KAMA UTAKAVYO.


2.Mpe nafasi ya kujibadilisha ukiwa TAYARI umempa FACT na akiwa anajua nini unataka,wakati mwingine tunawaacha hawa wanawake kimakosa mpk umekaa nae muda wote huo huyo ANAKUFAAA (trust me)

Mwambie unataka aweje na unataka akufanyie nini..usiwe mtu wa gubu wa kukaa na mambo yanayokutesa moyoni mwako.

3.Baada ya kumwambia na kumuelekeza kila ulichotaka na unachotaka awe lakini ameonekana ndio wale wale SIKIO LA KUFA habadiliki..sasa unaweza andika barua nyingine ya kusitisha ombi la barua ya kwanza na ndipo barua yako itakua imekamilika kwan itakua imefata taratibu zote za Ki mahusiano lakn kwa sasa hivi kama hujapitia haya niliyokuandikia SIKUSHAURI UTENGUE ilee barua yako ya mwanzo ya uchumba.

Sio kwamba watakukatalia ila utakubaliwa ila utajijengea picha na taswira mbaya kwa ndugu na yyte atakaejua umefanya hilo uliloamua.



KUA MWANAUME NA KUBALI KUA HAKUNA MWANAMKE MKAMILIFU KWA KUWA ULIMCHAGUA WEWE BINAFSI NA HAKUNA MTU ALIEKUSAIDIA KUKUSHAWISHI UMPENDE MAMA WATOTO WAKO BHAS SASA IVI PIA CHUKUA MAAMUZI MAGUMU KAAA NAE HIVYO HIVYO (kwa taratbu nilizokushauri juuu) AKIBADILIKA HUYO NI WAKO ila ASIPOBADILIKA HUNA BUDI KUMTAKIA MAISHA MEMA NA WEWE UANZE UPYA UTAFUTE PASUA KICHWA MWINGINE.
 
Na wewe unajiita mwanaume?? Mbaya zaidi ukijiita baba kwasababu pamoja na kuwa na herufi nne tu, neno "baba" lina uzito mkubwa sana. Acha kujiangalia wewe, tayari unafamilia mkuu.

By the way naona hata aibu kukushauri jitu kubwa la miaka 30 angali am still younger than you lakini siwezi kufanya upuuzi kama huo.
 
huna lolote ushapata mwingine na kumpotezea muda ndo unaleta vijisababu vyako naomba awe mswahili akuloge kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…