Kutengeneza andoid app na faida zake

Kutengeneza andoid app na faida zake

mimi_wewe

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
70
Reaction score
17
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp.
Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu niliowashilikisha wameafikiana nami kuwa ni wazo zuri na app hiyo kama nitaifanikisha itapendwa sana na watu!
App hiyo nilishaikamilisha kwa kiasi kikubwa lakn changamoto kubwa ni kwamba ili ni publish kwenye play store au app store inahitaji kulipia kiasi flani cha pesa,lakn sifaham namna ya kulipia kwa mastercard au njia zingine maana nilishawahi kusikia ukikosea unaweza ibiwa pesa zako kwenye account
Changamoto nyingine ni kwamba sifahamu ni kwa namna gani mtu unaweza nufaika kwa kumiliki au kua na app yako binafsi.
KWA HIYO ANAYEWEZA KUNITATULIA HIZI CHANGAMOTO NAHITAJI MSAADA WENU WANAJAMVI.
 
wataalamu watakuja,mkuu na mm niko na ideas nying naomba na mm unipe desa kidogo ili niweze kutengeza android apps natakiwa niwe na mahitaji gani......
ninawaza mbali zaidi baada ya kubobea katka android app niingiee pia kwenye apple app development
 
For payment

Chukua card yako ya crdb ( visa), nenda bank watakupa form ya kujaza iki kuiwezesha card yako kufanya online payments. Baada ya activation , utaingia www.PayPal.com, utafungua account kwenye PayPal then utaunganisha card yako iliyokua activated kufanya online payments na PayPal ( option IPO utaiona ukilog in kwenye account yako) .

Ukishakua successful apo, utahamisha kiasi cha fedha kutoka kwenye visa card yako( bank account) to PayPal account. Don't worry about currency conversion ni automated. Ukishaweka michuzi basi unaweza kufanya malipo yoyote online safely PayPal wakikulinda na card yako ikiwa safe from theft.

Adios amigo
 
Asante sana kiongozi!
Bado kitu kingine namna gani ntapata faida juu ya kuwa na hiyo application.
 
wataalamu watakuja,mkuu na mm niko na ideas nying naomba na mm unipe desa kidogo ili niweze kutengeza android apps natakiwa niwe na mahitaji gani......
ninawaza mbali zaidi baada ya kubobea katka android app niingiee pia kwenye apple app development
kwa kifupi mkuu unahitajibkujua programming hasa java programming!! ukisha ijua then uingie kwenye android app development
 
Asante sana kiongozi!
Bado kitu kingine namna gani ntapata faida juu ya kuwa na hiyo application.
Faida zipo nyingi Sana, lakini kubwa zaidi ni kupata pesa za ziada kupitia application uliyoiweka online, unachotakiwa Kufanya ni kuunga hiyo app na matangazo ya adsense (admobs), ukishajiunga mtu akidownload app wewe unapata camision flani kutoka Google. Faida ya pili, inakuwezesha kukuza blog au site yako Kwa kupata wateja wengi wa kwenye simu, unaweza nicheki 0687535650
 
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp.
Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu niliowashilikisha wameafikiana nami kuwa ni wazo zuri na app hiyo kama nitaifanikisha itapendwa sana na watu!
App hiyo nilishaikamilisha kwa kiasi kikubwa lakn changamoto kubwa ni kwamba ili ni publish kwenye play store au app store inahitaji kulipia kiasi flani cha pesa,lakn sifaham namna ya kulipia kwa mastercard au njia zingine maana nilishawahi kusikia ukikosea unaweza ibiwa pesa zako kwenye account
Changamoto nyingine ni kwamba sifahamu ni kwa namna gani mtu unaweza nufaika kwa kumiliki au kua na app yako binafsi.
KWA HIYO ANAYEWEZA KUNITATULIA HIZI CHANGAMOTO NAHITAJI MSAADA WENU WANAJAMVI.
Tatizo unatoa maelezo kichoyo halafu unataka watu wafunguke
 
Back
Top Bottom