Kesha sema atalala nayo mbele [emoji16]
Ushauri mbovu sana huu, siku ikiwa mtu mzima utaacha kutoa ushauri mbovu kama huoUngekuwa 'k' ningesema labda kauze mbususu alafu upambane na matokeo!
Hey.anatania na mie simchukulii serious
Achana nae
Hiyo faida utaitoa wapi?
Hujasema kama utaizalisha bali umesema 'utamtunzia' sasa ni utunzaji gani usiozalisha kama sio kulala nazo mbele.Baba mchungaji unasali wewe!! Wapi nimesema nitalala nayo mbele? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujasema kama utaizalisha bali umesema 'utamtunzia' sasa ni utunzaji gani usiozalisha kama sio kulala nazo mbele.
Nimesema nina mashaka na wewe
Kumbe 😂Hey.anatania na mie simchukulii serious
Achana nae
Aaahaaaa hii hapaHahaa hahaaa! Seriously! Kabaaam!!!!....YXUEG
Odds3 hizo 1xbet..... baseball....sure hazina mboyoyo maazee!
Nenda viwanjani kule utapata maelezo.Nafasi napataje..
Vipi ile mibichi nkinunua kwa jumla niuze?Uza dagaa MCHELE wale wa mafungu tafuta mitaa ya uswahilini na kaanga mihogo ila iwe na udambwidbwi chachandu nzuri na kachumbari utakuja kunishukuru siku Tano tu mhogo mmoja uza jerO ila uwe unakata mikubwamikubwa
Habari wapenzi,
Nina mtihani.nina 150,000 mkononi natakiwa nifanye kitu ili ifikapo tar 30 july niwe nimezalisha 350,000 la sivyo ..
Naombeni mawazo yenu.nini kinaingia ndani ya hiyo budget,hata kuuza matunda we nipe tu mchanganuo.anagalau.we leta idea yako itasaidia kuniokoa.
Yenye kuweza kuzalisha angalau 50,000-100,000 ndani ya week ama siku kumi.
Sina mkuu..nso mana nomefikia hapaIna maana mkuu kakosekana kabisa wa kukuboost manamna gani then huko badae ukaja kumalizana nae?
Au ni vile unachoresha mchongo wa kuanza kufanya, utakao kuwa unakupa faida kwa mda mchache?
Sawa sio mbaya ila inabid utafute sehemu iliyochangamka yaan main road kwenye watu wengiVipi ile mibichi nkinunua kwa jumla niuze?
@Kambi ya FisiKama wewe ni pisi kali hiyo hela uliyonayo inaweza kuzalisha hata 3.5m ndani ya huo muda ulioazimia!
Cha msingi weka picha yako nione kama idea itakufaa depend wewe ni pisi kali kiasi gani!
Much appreciated.. NashukuruNenda viwanjani kule utapata maelezo.
Ukikosa ndani hata nje pale maji juisi icecream bites unauza .
Uwe tu msafi wa mwili na kijimeza chako