Nina hakika hata wewe Sjumaa26 ulieshauri mwenzako ajifunze kiswahili, Unahitaji darasa.
Unajua kweli maana ya neno 'Kukurupuka'? kama unavyodai nimefanya.
Hoja yangu ni kuwa mada yako ya mtu kujifunza Kiswahili ipo nje ya maudhui ya Uzi husika kama ulivyoanzishwa na dililia
na ndio maana nikasema na naendelea kusema kuwa haikuwa mahala pake.