Nilikuwa na mpenz tuliyependana sana lakini cku moja alipata safari......na alipoludi toka safari akanambia amepata mchumba na anataka kuolewa......je ingekuwa ww ungefanyaje

Ningerudi darasani kusomea lugha ya Kiswahili fasaha maana kama kuandika kwenyewe ndio hivi, habari gani kukiongea? Si ajabu mchumba aghairi na kuamua kwenda kwa mwingine!
Nilikuwa na mpenz tuliyependana sana lakini cku moja alipata safari......na alipoludi toka safari akanambia amepata mchumba na anataka kuolewa......je ingekuwa ww ungefanyaje
Ningemwacha akafie mbele ya nn kulazimisha usipopendwa? ni sawa na kubeba gunia la misumari.kisa cha kuchomwa ni nini. Life is very short. kwanza "if u lve smbody let him go,if he comes back he is your and he will stay forever':A S-devil4: