Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Aggy una shida gani?? Last 3 Thread zako haupo sawa kabisa. Shida nn mamaJe kuna mwanajf yeyote anayepanga kwenda SCOAN
Kama upo tafadhali uniambie..
Nna hitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio wapi mzee au kwa TB JOSHUA.maana umeandika kama ni jiji au mtaa furani hivu
Aggy una shida gani?? Last 3 Thread zako haupo sawa kabisa. Shida nn mama
Aiseeee Nimeombwa niende kwa Bulldozer mwamposa - JamiiForums
Aiseeee Nimeombwa niende kwa Bulldozer mwamposa - JamiiForums
Juzi uliulizia huku. Naona ume upgrade
SawaTena makubwa sana.. Una nn? Mbona kama mtu roho yako inakimbia kimbia sana, kuwa jasiri, shupavu, watu wengi wenye matatizo ya hofu wanasumbuliwa na uwoga usio na maana ndani yake.. Kuwa jasiri, hayo matatizo ya kisaikolojia yatakwisha kabisa..!! Sijui kama utanielewa, be strong, acha kuwa weak spiritually..!! Jiamini 100%
Mfano mmoja nakupa tu, ninayo mengi, mm ni jasiri kupindukia, mwaka Jan 2015 kulikuwa na mchawi mmoja watu walimhisi usiku mida ya saa 9 anafanya uchawi nikiwa likizo huko Arusha, watu waliamka na wakamkamata, mm niliposikia kelele nikaamka pia, nikaenda na track suit, usiku 9:30 hv, nilikuwa ana mashanga kibao na unga kajipaka sijuii nini na yuko uchi, nilipiga kibao kimoja akanya haja kubwa full na mkojo juu na akakata network, alipopata fahamu ilikuwa saa 11 asubuhi, nilimuongeza watu walilia naua, basi wakamchukua hajijui hadi polisi..
Acha roho ya uoga uoga.. Utakufa tu siku moja, be the most strongest ever human kwa vyote..!! Tumia akili sana pia Unanielewa..!!
Amen..nashukuru kwa kunipa moyo mkuu..Mimi sitarajii kwenda mapema ila ni mdau wa damu.wengi tunakwamishwa na nauli.Agnes utafika kabisa .cha msingi ungana nae kwa sela ya kanisa ''distance is not a barrier''
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wataka nn niko huku na mke wa rais wenuJe kuna mwanajf yeyote anayepanga kwenda SCOAN
Kama upo tafadhali uniambie..
Nna hitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kuna mwanajf yeyote anayepanga kwenda SCOAN
Kama upo tafadhali uniambie..
Nna hitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kwenda?nikuelekeze process
Mi sshv hapana ..napumzika nina mwaka tangu niende
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sitarajii kwenda mapema ila ni mdau wa damu.wengi tunakwamishwa na nauli.Agnes utafika kabisa .cha msingi ungana nae kwa sela ya kanisa ''distance is not a barrier''
Sent using Jamii Forums mobile app