Kutembea ukiwa usingizini

Mmh hii nayo ni kama hiyo ya kuona mauzauza ndotoni ogea chumvi kabla hujalala hiyo hali itakoma
Mimi huwa naamka naanza kupiga kelele na hiyo hali inajirudia Sana miaka zaidi ya 10 na huwa sikumbuki bali naambiwa na watu nao lala nao tatizo inaweza kua nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
SOMNAMBULISM....
 
Nilikuwa na hili tatizo kipindi Niko mdogo miaka 4 Hadi 8,9

Nilikuwa naamka usiku,nawasha taa,Mara naenda sebuleni baadaye narudi kulala.
Nikiamka asubuhi naambiwa hayo .. Mimi hata sikumbuki.

Sijui hata liliishia wapi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hali si ya milele huja na kupotea baada ya muda fulani
Jr
 
Mkuu swali Nje ya mada aisee,

Ivi ni kwel ukiweka mfupa wa kitimoto (nguruwe) ndani au chini ya uvungu Wa kitanda kwamba wachawi au wanga wanakua hawafiki kwako ?

Ni jibu tafadhali Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
 

Attachments

  • 9b847824f4c4e5217111bbed957e666a.jpg
    13.3 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…