bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 674
Madem ndo wana izo mambo sio madumeKama una hiyo shida, meza kidonge kimoja cha dawa aina ya vasograin kabla ya safari...
Iliwahi nitokea those days nikaambiwa niwe nanunua gazeti alafu nalikalia niwapo safarini, hakika sikuwahi tapika tena kila nifanyapo hivyo.Habari za mda tena ...
Hili swala la mtu kutapika akiwa safarini huwa linatokana na nini??? ...
Ni ushamba wa Safari au ni ugonjwa na mtu mwenye shida Kama hii anawezaje kuondokana nayo,,,,
Kwa anaejua tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kalia gazetiHabari za mda tena ...
Hili swala la mtu kutapika akiwa safarini huwa linatokana na nini??? ...
Ni ushamba wa Safari au ni ugonjwa na mtu mwenye shida Kama hii anawezaje kuondokana nayo,,,,
Kwa anaejua tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii noma Sana kiongoziIliwahi nitokea those days nikaambiwa niwe nanunua gazeti alafu nalikalia niwapo safarini, hakika sikuwahi tapika tena kila nifanyapo hivyo.
NB.Sijui kuna mechanism gani na pia bado nafanyaga hivyo.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dunia na mambo ndugu
Unawezaj kuepuka Hilo tatizoni motion sickness kwa kibeberu inaitwa hivyo..
hii inasababishwa na utumbo kuelea tumboni..yaani sijui umeelewa maana haielezeki.