Kutanana Warembo Wenye Asili ya Afrika Wanaotesa Kwa Urembo Duniani

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Mmoja wa hao warembo ni huyu hapa chini anayeitwa Damaris Lewis kutoka Brooklyn New York. Ni mwanamitindo anayesifika sana.
BLACK BEAUTY1.jpg
Halafu kuna huyu anayeitwa Arleni Sosa Pena kutoka jamhuri ya Dominica BLACK BEAUTY2.jpg


Mwone na Adaora Akubillo kutoka Nigeria. Ni mwanamitindo huyu BLACK BEAUTY3.jpg


Wamwonaje huyu kutoka Senegal? Anaitwa VeroniqueBoubane na pia mwanamitindo mahiri BLACK BEAUTY4.jpg

Huyu naye ni Tomiko Fraser Hines kutoka New York.Ni mshauri wa vipodozi BLACK BEAUTY5.jpg
 
BLACK BEAUTY6.jpg
Huyu ni Rissikat Bade mzaliwa wa DRC anayeishi Uingereza.Zinachaji sana na uwezo wa kuzungumza lugha 4 za kimataifa kwa ufasaha.Anazungumza Kiingereza, kifaransa, Kirusi, na Kiukraine.
BLACK BEAUTY7.jpg
Huyu ni Chavoy Gordon,Miss Jamaica 2011.Anasomea udaktari.



BLACK BEAUTY8.jpg
Huyu ni Geidy Mena Cuesta kutoka Colombia.Ni mwanamitindo maarufu sana.



BLACK BEAUTY9.jpg
Leila Lopes kutoka Angola.Alikuwa Miss Angola 2010 na Miss Universe 2011.

BLACK BEAUTY10.jpg
Kiara Kabukuru kutoka Uganda.Ni mwanamitindo Nguli wa kimataifa.
 
Tuwekee na ya Wema basii....
utafiti, pole sana. Mrembo Wema hatambuliwi kimataifa kwa sababu hakupenda kujiendeleza na fani ya urembo.Alipenda zaidi ubaby baby na Diamond.
 
Last edited by a moderator:
Kila kukicha utasikia warembo mara wanamitindo mara sijui hiki yaani hakuna hata laamana ni mauza mauza na kizai zai na mizengegwe tuuuu ilo jaaa
 
Back
Top Bottom