Kutana na nabii Dominic kiboko ya wachawi, nimeshuhudia miujiza ya kushangaza licha ya ubishi wangu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu.

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa.

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona, baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa, nimerudi baada ya kunusulika kifo.

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali tu

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi, kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane, alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR

FB_IMG_1702036672841.jpg
Screenshot_20231208-164752.jpg
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu .

ACH]
Kwani nawewe unageuka twapili pia1🤔
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu .
Okay.....
Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali TU
Ni kama vile unajipinga mwenyewe au upingaji wako hapo juu ulikuwa pre-amble ya kuaminisha watu Imani yako... kitu ambacho kinafanya reliability yako iwe questioned...

Anyway to each his/her own....
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu .

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa .

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona ,baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa ,nimerudi baada ya kunusulika kifo .

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali TU

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi ,kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane,alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR View attachment 2836637View attachment 2836638
Sawa lakini je unaweza kuitetea Imani Yako inayotegemezwa na Biblia MBELE ya Waislam? Fika Uwanja wa Maonyesho Saba Saba tarehe 16 na 17 December uone NAMNA Mwl Francis Ndacha anavyoitetea Biblia MBELE ya Waislam

View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
 
TRA wawaangalie na hawa watu wanaojiita manabii,nao ni wafanya biashara

Wanapata ujasiri wa kuibuka kila siku kwasababu mapato yote ni ya kwao...nyinyi TRA mkianza kuwatambua nao watapunguza kujitangaza

Nashauri kodi yao iwe juu kidogo
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu.

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa.

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona, baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa, nimerudi baada ya kunusulika kifo.

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali tu

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi, kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane, alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR

View attachment 2836637View attachment 2836638
Wakongo nao sasa wameingia Tanzania kuchangamkia Fursa.

Waganga kwa njia ya kidini.

Wajinga ndio...
 
Back
Top Bottom