Kutana na nabii Dominic kiboko ya wachawi, nimeshuhudia miujiza ya kushangaza licha ya ubishi wangu

TRA wawaangalie na hawa watu wanaojiita manabii,nao ni wafanya biashara

Wanapata ujasiri wa kuibuka kila siku kwasababu mapato yote ni ya kwao...nyinyi TRA mkianza kuwatambua nao watapunguza kujitangaza

Nashauri kodi yao iwe juu kidogo
TRA wenyewe Unakuta Wana magumu Yao wanahitaji ufumbuzi .Shida Haina Cha TRA Wala Nini

Kumbuka kikombe Cha Babu wa Loliondo walienda Hadi TRA,wabunge,mawaziri,wajaji , viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama nk

Shida Haina baunsa.Jeuri mtu anakuwa nayo akiwa mzima tu
 
Acha ubishi wewe kapewe upako wa papuchi uache ukahaba.

Wenzako wanaolewa wewe uko bize unabwata mitandaoni.
 
TRA wenyewe Unakuta Wana magumu Yao wanahitaji ufumbuzi .Shida Haina Cha TRA Wala Nini

Kumbuka kikombe Cha Babu wa Loliondo walienda Hadi TRA,wabunge,mawaziri,wajaji , viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama nk

Shida Haina baunsa.Jeuri mtu anakuwa nayo akiwa mzima tu

Ukijumuisha hivyo mbona wafanyakazi wa TRA wanaumwa na wanaenda hospital na bado hospital inalipa kodi kama kawaida
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu.

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa.

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona, baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa, nimerudi baada ya kunusulika kifo.

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali tu

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi, kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane, alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR

View attachment 2836637View attachment 2836638
USSR alipotea hapa jukwaani Kwa muda sasa,

YESU ni Bwana
 
How special is your prophet without prophesy? Acha kujitoa ufahamu,soma maandiko, KARAMA za Roho mtakatifu Ni zawadi kwa kila muamini aliyejazwa Roho mtakatifu acha kutukuza binadamu, hata faraoh alitumia waganga wake kufanya Miujiza Kama ya Musa
 
Hu
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu.

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa.

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona, baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa, nimerudi baada ya kunusulika kifo.

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali tu

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi, kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane, alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR

View attachment 2836637View attachment 2836638
Huo usomi wako uko wapi sasa, kama na wewe umejiingiza na kuwa sehemu ya hayo magenge yanayowapora wenye matatizo hata kidogo walichonacho. Hili ni tangazo la biashara, mnafanya uhuni sana kutumia matatizo ya wenzenu kujikusanyia utajiri.
Uliwahi kuleta uzi wako humu kuwa ulimpiga muhindi maelfu ya dola, ukaficha kwenye soksi ukasepa, tangu miaka ile nilikuona janja janja tu.
 
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na ardhi ukichanganya na usomi wangu.

Baada ya kupigwa na kitu kizito huko nikalazwa muhimbili mloganzila Kisha nikapelekwa Nairobi sikupata ahueni ni moyo na maumivu makali kwenya UTI wa mgongo hadi siku nilipo tembelewa na jamaa yangu mmoja aliyenishauli Kwa kubishana sana niende Kwa nabii kiboko ya wachawi ,nilikubali Kwa shingo upande TU Kwa kuwa maumivu sio poa.

Basi siku nafika pale ni buza huko Kwa ndani nilikutana na nyomi la mtu wagonjwa kama wote nikasema moyoni labda nitapona, baada ya Ibada sikuamini sina maumivu wala moyo kuuma hadi naandika hapa, nimerudi baada ya kunusulika kifo.

Hakika yesu yupo huku Mimi nilisimama mbali tu

Kama una ndugu anaumwa ,anamatatizo ya kazi, kuibiwa nyota ndoa na n.k nakushauri fika buza Kwa lulenge ukutane na mkongo huyu apone nimeshuhudia watu wakipona na kupokea

Ibada ni jnne sana nane, alhamis saa nane jpili saa tatu kuendelea .

Au sikiliza furaha redio 90.5

USSR

View attachment 2836637View attachment 2836638
Ona aibu Mkuu..!!

Umelipwa Shng ngapi!?
 
Matangazo kama haya ya biashara yanatakiwa kulipiwa bila shaka.
 
Kmanyoko pumbavu kabisa mwizi wewe
Nyang'au....
 
Hii biashara isiyolipa kodi. Mwanetu mmoja anakulaga 50k zake za kufanya maigizo.
 
Back
Top Bottom