Umakini wa mwanamke awapo ktk sterling ni mkubwa kuliko dereva mwanaume.kwanza ni waoga pili drivers wengi wa kiume hawapendi kupitwa na wenzao barabrani ataona coz mwenzake kampita basi ni dharau atachekwa baadae kwenye vikao vyao vya pombe,basi watakimbizana wee hadi ampite na huo ndio mchezo wao barabarani wakati mwanamke hana cha kupoteza hata apitwe na wangapi zaidi atazingatia timetable yake inamuamuru vipi..binafsi madereva wanawake nawaamini sana,natamani hizi gari za long safari zingekuwa na madereva wawili,mwanamke awe dereva mkuu na mwanaume co-driver ajali zingepungua sana,wanaume tuna mioyo ya kupuuza puuza sana hasa sehemu zenye hatari tofauti na wanawake.