Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Kwa wenye akili timamu na zenye afya na wanaotambua kuwa mwanamke ni kiumbe wa aina gani...hawatakuwa na shaka juu ya maamuzi yangu.....
Mbona wapo hata kwenye mafoli, kama EAFCO petroleum, na pia alikuwepo mmoja dereva wa SHABIBY EXPRESS
Sitakaa nipande chombo kinachoendeshwa na mwanamke hata iwe baiskeli.........
Mbona wapo hata kwenye mafoli, kama EAFCO petroleum, na pia alikuwepo mmoja dereva wa SHABIBY EXPRESS
Basi tu mkuu...yaani moyo wangu unakosa amani kabisa...Kwanini mkuu?!
Lakini mbona sijakutukana mkuu.....its free world.....usijishaue huko umeongea uozo...bora ungenyamaza tu sijui umetumia pumbu kufikiria??
Sitakaa nipande chombo kinachoendeshwa na mwanamke hata iwe baiskeli.........
Lakini mbona sijakutukana mkuu.....its free world.....
Nafsi yangu inakataa kabisa mkuu sijui kwanini....kuna siku nilijaribu kupanda basi moja la Dodoma linaloendeshwa na mwanamke......yaani kila nikikaa nakaa kwa mashaka mashaka tu...ikanibidi nishukie chalinze nichukue basi lingine..........kaka acha kuwa na mtizamo wa kinyanyapaa juu wa wanawake.
naomba siku moja uje ukutane ana kwa ana na female jet fighter pilots.