Kutana na mti wenye matunda ya aina yake

[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia kuna jamaa mmoja ana ugonjwa wa akili ndie anaefunga hizo chupa kwenye huo mti
Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa

Hapo tayari kuna imani za kiswahili juu ya huo mti sidhani kama kuna mwananchi anaewaza hata kuugusa.
 
Hili eneo nalikumbuka,kuelekea bukoba nikiwa natoka mwanza sijui ni kijiji gani ila nalikumbuka 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…