Mwana wane maganga hazeeki tokea enzi zile tuko mwanza tukihudhuria mahubili ya mosses kulola alikuwa anatumbuiza nyimbo za kumsifu MUNGU kabla ya Mahubili kuanza duh siamini mpaka leo bado ni anasula ile ile. Mahubili mengi yalikuwa yakifanyika viwanja vya Gandhi Hall ambako sasa kwatizamana na jengo la Idara ya maji TAKA Mwanza. Juzi napo nimekuona kwenye Selebuka J.Maganga hongera