Kutana Na Jogoo Anayeongea

mliozaliwa juzi huwezi kujua haya
 
Mkuu hiyo miaka 1980 hadi 1997 tulivisoma sana!!akina sadiki na fikiri!!tola anakula gizani!!kibanga ampiga mkooloni!!na!!!!!!!endelea kama unakumbuka!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
long tym sana
 
Mkuu hiyo miaka 1980 hadi 1997 tulivisoma sana!!akina sadiki na fikiri!!tola anakula gizani!!kibanga ampiga mkooloni!!na!!!!!!!endelea kama unakumbuka!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chopeko na Mnofu, Dunia Haina Siri(Mfalme ana Masikio marefu kama Punda)............
 
Katika hali ya kawaida kila rika linaona kama lenyewe ni bora kuliko rika lingine,

Utasikia sisi tuliosoma wakati wa mkoloni ndo tulipata elimu bora, nyie wa siku hizi kiingereza hamjui kabisa.

Wale wa baada ya mkoloni nao wanawaambia wenzao wa siku za karibuni nyie kizazi cha Mulugo aka div 5 aka Tanzania ni Muungano wa Zimbabwe na Tanganyika hamna kitu kabisa.

Baada ya siku kizazi cha Mulugo nacho kitaanza kutambia kizazi cha Elimu Bure!
 
na hao hao wakifija kwa dada zetu wanapendekeza waitwe 'baby' uzee mwisho...... hii ndiyo Tanzania. kuupata ukweli ni aghali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…