Kutana na DTO Frank wa Mafinga ,Kamanda wa polisi anayejielewa na mwenye weledi uliotukuka

pure man

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
546
437
Sina shaka na cheo cha huyu kamanda,kwa sasa ni District Traffic Officer pale mafinga,hakika sijui niseme alistahili kuwa RTO kabisa.

Huyu mwana inasemekana kabla ya kuwa DTO alikua OCS pale sadani,magenge ya wahuni,vibaka walinyoka,bila kumwaga damu,bila kusingiziwa mtu kesi kama tulivyozoea kwa baadhi ya makamanda,na sasa vibaka wale ,wezi wale wamkua nguvu kazi ya taifa sijui ana technic gani huyu jamaa salute kwake kwakwel.

Mafinga kwa sasa hajari nakuna,unapopita ule ukanda hakika katika speed limit utaona magari namna yanaenda kama yanasindikiza bi harusi,

Sio mtu wa kukaa ofisini ni mzee wa field sana kuobserve kitaalam tunaita physical management,

Sio kamanda wa kukimbilia kukupiga fine,kwake yeye elimu ndo kila kitu,utapigwa elimu hapo na madhara yake kiasi kwamba kama ni mgeni ukipita mara ya pili ww mwenyewe uta obey hata kwa kujistukia tu.

Ana vijana waje kabambe wa kutoa elimu kwenye mastend,vijiwe vya boda boda na bajaji hahahaha utapenda,hapo ndipo nilipojifunza kitu kikubwa sana kwamba kumbe Askari sio adui.

Hakika kama kweli nakamanda wengine watajifunza kitu kutoka kwa huyu jamaa tutakua na mapinduzi sana katika usalama barabarani.
 
Sina shaka na cheo cha huyu kamanda,kwa sasa ni District Traffic Officer pale mafinga,hakika sijui niseme alistahili kuwa RTO kabisa.

Huyu mwana inasemekana kabla ya kuwa DTO alikua OCS pale sadani,magenge ya wahuni,vibaka walinyoka,bila kumwaga damu,bila kusingiziwa mtu kesi kama tulivyozoea kwa baadhi ya makamanda,na sasa vibaka wale ,wezi wale wamkua nguvu kazi ya taifa sijui ana technic gani huyu jamaa salute kwake kwakwel.

Mafinga kwa sasa hajari nakuna,unapopita ule ukanda hakika katika speed limit utaona magari namna yanaenda kama yanasindikiza bi harusi,

Si mtu wa kukaa ofisin ni mzee wa field sana ku observe kitaalam tunaita physical management,

Sio kamanda wa kukimbilia kukupiga fine,kwake yeye ELIMU ndo kila kitu,utapigwa elimu hapo na madhara yake kiasi kwamba kama ni mgeni ukipita mara ya pili ww mwenyewe uta obey hata kwa kujistukia tu.

Ana vijana waje kabambe wa kutoa elimu kwenye mastend,vijiwe vya boda boda na bajaji hahahaha utapenda,hapo ndipo nilipojifunza kitu kikubwa sana kwamba kumbe ASKARI SIO ADUI.

Kakosea field, ALIPASWA KUWA Mkufunzi Driving school HUYO; kamanda hupaswi kumchekea RAIA! .Atakuzoea
 
Sio kwamba anamchekea raia,elewa thread,ni mbinu chache sana kwa baadhi ya makanda,cha kwanza kumfanya mtu aelewe kosa lake ,na mfanye hawezi rudia kosa hilo tena kwa kuelewa madhara yake,wakaid wanapigwa fine iliyonyooka,na impact yake angalia takwim za ajari eneo lile kuanzia waka jana mwishoni mpaka sasa na fananisha enzi za majinja ,damu hazizagai ovyo barabani,ikitokea ajari eeehe nafikir wanaojua wanaelewa nini kinafata kwa dereva na mmilik,pints nying askar wane cover
 
Sina shaka na cheo cha huyu kamanda,kwa sasa ni District Traffic Officer pale mafinga,hakika sijui niseme alistahili kuwa RTO kabisa.

Huyu mwana inasemekana kabla ya kuwa DTO alikua OCS pale sadani,magenge ya wahuni,vibaka walinyoka,bila kumwaga damu,bila kusingiziwa mtu kesi kama tulivyozoea kwa baadhi ya makamanda,na sasa vibaka wale ,wezi wale wamkua nguvu kazi ya taifa sijui ana technic gani huyu jamaa salute kwake kwakwel.

Mafinga kwa sasa hajari nakuna,unapopita ule ukanda hakika katika speed limit utaona magari namna yanaenda kama yanasindikiza bi harusi,

Si mtu wa kukaa ofisin ni mzee wa field sana ku observe kitaalam tunaita physical management,

Sio kamanda wa kukimbilia kukupiga fine,kwake yeye ELIMU ndo kila kitu,utapigwa elimu hapo na madhara yake kiasi kwamba kama ni mgeni ukipita mara ya pili ww mwenyewe uta obey hata kwa kujistukia tu.

Ana vijana waje kabambe wa kutoa elimu kwenye mastend,vijiwe vya boda boda na bajaji hahahaha utapenda,hapo ndipo nilipojifunza kitu kikubwa sana kwamba kumbe ASKARI SIO ADUI.

Hakika kama kweli nakamanda wengine watajifunza kitu kutoka kwa huyu jamaa tutakua na mapinduzi sana katika usalama barabarani.

Hajari = ajali
 
ukicheka na nyani utavuna mabua.
askari hatakiwi kucheka na kima, piga vyeti tu hii nchi ina pesa na watu ni matajiri.
tena ukimkosa saaana unampiga 90....
mbona mtaelewa show, watoto wa kino wanaita mbwa kala mbwa!!

ukitaka elimu nenda veta araaa
 
Umeandika vizuri lakini sio LENGO KUU
 
Anayestahili kupewa kapewa saf sana kkubwa n kuongeza ushirikiano kwake mana bla nyie raia wema hakuna kaz. Vzr sana mtoa post umenena.
 
Back
Top Bottom