Mkopo wa dharula unaweza kuwa kiasi chochote lakini unarudishwa ndani ya miezi miwili. Huwa ni ngumu mtu kukudhamini kama hakujui, na ndio maana inashauliwa kuwa na mtu anayekufahamu. Lakini pia kama historia yako ya uwekaji na utoaji nzuri kuna jinsi wanaweza kukusaidia kupata mkopo. Kumbuka lengo ni kuweka usalama wa hela za wanachama.