mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 109
Wiki iliyopita Nilimtahiri mwanangu wa miaka miwili kasoro. Chakushangaza wenyeji wangu huku mtwara wananilaumu eti nimemuwahi kumtaahiri mapema. Eti hii itasababisha mwanangu aje kuwa na uume mdogo ( Kibamia)
Na wengine wakanambia nisisubutu kumuingilia mke wangu mpaka mtoto apone eti nikiwa namuingilia mtoto atacherewa kupona . Je wadau hii imeakaaje? Au ni imani tu ambazo hazikubaliki kisayansi?
Na wengine wakanambia nisisubutu kumuingilia mke wangu mpaka mtoto apone eti nikiwa namuingilia mtoto atacherewa kupona . Je wadau hii imeakaaje? Au ni imani tu ambazo hazikubaliki kisayansi?