With all the Love and Respect kwa watani zangu Wakurya but, I think kutahiri bila ganzi is unnecessary physical, and emotional abuse. If this's still going on nowadays, madai ya kuwa ME anakuwa jasiri akikatwa gegedeo bila ganzi is BOGUS!, Is there any evidence that links extremely pain with confidence?!,...au ndo wanaishia kuwa na mahasira ya ajabu!
Nilijua utakuwa wa kwanza hapa!
Wewe unawajua wakurya tu? je unataka kuwadhihaki wakurya kwa maelezo yako hapo juu yasiyo na Evidence? we umewajua wakurya tu??? mbona huwasemi Maasai, Wasonjo n.k
Of course kuwa wa kwanza sio tatizo, tatizo ni jinsi ulivyoileta mada bila utafiti, wakurya hatuna hasira na kama tunazo wangoni wanaokasirika na kuamua kujinyonga wao watawekwa group gani?
Kwa asili wakurya tumekuzwa ktk misingi ya kutopenda kudharauliwa awe ametahiriwa hosp, kwenye kisu or bado ni mdogo hajatahiriwa, tunaheshima sana but once ukionyesha dharau kwa mkurya hapo ndo utamjua ni mtu wa aina gani awe me au ke.