Kutafuta waliopotea katika mafuriko. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutafuta waliopotea katika mafuriko.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Dec 30, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wana JF, dhahama la mafuriko limepita katikati ya jiji la Dar es salaam lakini sijasikia taasis yoyote akitangaza kuwasaidia waathirika kutafuta wapendwa wao waliopotea katika mafuriko hayo. Je, taasis zetu zimepuuza uwezekano kuwa baadhi ya watu waliopotea katika mafuriko hayo hawajapatikana?
   
Loading...